Monday, 10 December 2018

Mafunzo kwa wakufunzi na walimu wa afya - Sauti ya Binti Project
Dr. Aidat, mkufunzi kutoka Kasole Secrets akifundisha kuhusu mchakato wa balehe
Walimu wa Hedhi Salama kutoka katika mradi wa Sauti ya Binti wakifuatilia mafunzo kwa makini kabisa
Walimu wakifanya zoezi tayari kwa kuwaweka sawa kuanza mafunzo ya Hedhi Salama
Mwalimu Mohhamed, akichangia mjadala
Dr. Atu, akifundisha kuhusu lishe na umuhimu wake kwa vijana baleheWalimu wakifanya zoezi la pamoja
Walimu wakisikiliza mafunzokuhusu Hedhi Salama kwa makini
Dr. Atu na Aidat wakitoa ufafanuzi kuhusu mchakato wa hedhi
Walimu wakifanya zoezi la pamoja
Majadiliano ya vikundi yenye lengo la kuwajengea washiriki ujasiri wa kuvunja ukimya kuhusu Hedhi Salama
Mazoezi ya pamoja ni muhimu sana katika kuwajengea washiriki umoja na ujasiri katika kuvunja ukimya
Mshiriki akitoa maoni yake baada ya majadiliano ya vikundi
Michezo ni moja kati ya nyenzo muhimu sana katika kuimarisha uelewa wa vijana balehe
Majadiliano na uwasilishwaji wa maoni baina ya vikundi ni moja kati ya nyezo madhubuti katika kuvunja ukimya
Picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo
0 comments: