Monday, 22 October 2018

Balozi wa Marekani nchini Tanzania azindua mradi wa Sauti ya Binti


Ambassador Inmi akielekezwa jinsi ya kutoa pad kwa kutumia machine ya kisasa kabisa ya kutolea pads 
Ambassodor Inmi akionyesha pad aliyofanikiwa kuitoa kupitia mashine yakutolea pads
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini kabisa hotuba ya Ambassodar Inmi katika ufunguzi wa project ya Sauti ya Binti
Ambassador Inmi akiongea katika ufunguzi wa project ya Sauti ya Binti
Mjadala wa nini kifanyike katika kumsaidia mtoto wa kike ikifanywa na wadau mbalimmbali ikiwemo wanafunzi, walimu na viongozi wa dini
Wanafunzi wakisoma risala kwa balozi Inmi
Wanafunzi wakimkabidhi Balozi Inmi zawadi
Mrs Hawa, kamishna mkuu wa ubalozi wa Malawi nchini Tanzania akisoma vitabu mbalimbali vinavyotarajiwa kuwafikia vijana balehe kupitia project ya Sauti ya Binti

0 comments: