Sunday, 1 July 2018

Mwandishi Marni Sommer afadhili kitabu chake kuwekwa katika maandishi ya braille


Bi Rabia,mmoja wa wachapishaji wa kitabu cha afya njema kipindi cha ujana
Shule ya msingi Toa Ngoma, inategemewa kunufaika na kitabu hiki kupitia mradi wa EMA unaoendeshwa na rotaractors
Wasomaji Salama Mtenga (binti wa Mwl. Rehema) na Noel (kidato cha kwanza) wakiwasomea kwa makini wachapishaji tayari kwa kukichapa kitabu
Wachapishaji Mwl. Bahati na Naku, wakichapa kitabu kwa umakini baada ya kusomewa
Mwanafunzi Noel akiendelea kuwasomea wachapishaji kitabu
Wachapishaji na wasomaji wakiendelea na kazi
Mwl. Rabia akielezea baadhi ya hadithi zilizomvutia wakati anachapa kitabu cha Afya Njema Kipindi Cha Ujana
Mwl mtarajiwa Naku, akielezea baadhi ya hadithi zilizomvutia wakati anachapa kitabu cha Afya Njema Kipindi Cha Ujana
Bi. Hyasintha, Rabia na Noel wakipanga vitabu tayari kwa kwenda kuwekea cover mara baada ya zoezi la uchapishaji kukamilika
Mwanafunzi Noel akiandika namba za kurasa za karatasi, tayari kwa zoezi la kuweka cover kwenye vitabu hivi
Mwl. Rehema akifanya masahihisho mafupi kwa baadhi ya kurasa za kitabu mara baada ya zoezi la uchapaji kukamilika
Shule ya msingi Toa Ngoma yasubiri kwa shauku kubwa kuanza kwa mafunzo ya Balehe na Hedhi Salama shuleni hapo

0 comments: