Wednesday, 30 May 2018

Taasisi ya DORIS MOLLEL FOUNDATION yawajengea uwezo vijana kuhusu Hedhi Salama


 Bi Mariam kutoka Doris Mollel Foundation (DMF) akigawa vifaa tayari kwa zoezi la kujifunza kutengeneza pedi za kufua
Wanafunzi wakike kwa wakiume kutoka shule ya Sekondari Msimbazi wakijiandaa tayari kwa mafunzo ya Hedhi Salama
Bi Hyasintha Ntuyeko kutoka Kasole Secrets akitoa maelekezo ya awali kwa wanafunzi tayari kwa kuanza mafunzo kuhusu Hedhi Salama

Bi. Hyasintha Ntuyeko akifundisha jinsi ya kuandaa vipimo tayari kwa kutengeneza pedi ya kufua

Wanafunzi wakianza kushona pedi kwa kuzingatia vipimi walivyoviandaa

Wanafunzi wa kiume walionyesha mwamko mkubwa wakutaka kujifunza jinsi ya kutengeneza pedi za kufua

Wasichana hawakujisikia aibu katika kujifunza pamoja na wavulana jinsi ya kutengeneza pedi ya kufua
Bi. Hyasintha Ntuyeko, akifundisha njia rahisi ya kuandaa vipimo kwa ajili ya kutengeneza pedi
Wanafunzi wakijitengenezea vipimo kulingana na walivyoelekezwa


Wanafunzi waziita pedi zao majina mbalimbali baada ya kumaliza kuzitengeneza
Mwanafunzi akionyesha pedi aliyoitengeneza baada ya mafunzo ya Hedhi Salama
Picha ya pamoja na Doris Mollel baada ya mafunzo ya Hedhi Salama shuleni Msimbazi0 comments: