Monday, 16 April 2018

Mafunzo ya Hedhi Salama huambatana na utengenezaji wa pedi za kufuaWakufunzi wakikata pedi kulingana na vipimo walivyoviweka
Hyasintha akiwanyesha wakufunzi jinsi ya kuandaa vipimo
Mkufunzi akitengeneza vipimo kwa kufuata maelekezo
Wakufunzi wakitengeneza vipimo kama walivyoelekezwa

Wakufunzi wakionyesha sampuli ya pedi baada ya kuikata kwa vipimo walivyoelekezwa
Wakufunzi wakionyesha pedi waliyoitengeneza 

0 comments: