Saturday, 13 May 2017

Maafisa jamii 80 kutoka kanda ya ziwa chini ya shirika la Compassion, wahitimu mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi kutoka vituo vya Musoma, Tarime, Shirati, Misungwi, Kahama, Magu na Urambo wakiwa katika picture ya pamoja baada ya kukamilisha mafunzo ya Hedhi Salama yaliyofanyika mjini Musoma
Wakufunzi kutoka vituo vya Shinyanga, Bunda, Tabora, Kigoma na Mwanza wakiwa katika picture ya pamoja baada ya kukamilisha mafunzo ya Hedhi Salama yaliyofanyika jijini Mwanza
Wakufunzi kutoka vituo vya Shinyanga, Bunda, Tabora, Kigoma na Mwanza wakiwa katika picture ya pamoja baada ya kukamilisha mafunzo ya Hedhi Salama yaliyofanyika mjini Mwanza
Wakufunzi kutoka Tabora wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya Hedhi Salama jijini Mwanza
Wakufunzi kutoka Kigoma wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya Hedhi Salama jijini Mwanza
Wakufunzi kutoka Kigoma wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya Hedhi Salama jijini Mwanza
Mkufunzi akikabidhiwa cheti baada ya mafunzo ya Hedhi Salama jijini Mwanza

Mkufunzi akikabidhiwa cheti baada ya mafunzo ya Hedhi Salama mjini Musoma
Picha ya pamoja na wakufunzi mjini Musoma mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya Hedhi Salama
Picha ya pamoja na wakufunzi mjini Musoma mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya Hedhi Salama

0 comments: