Thursday, 21 April 2016

KAMPUNI YA KASOLE YAUNGWA MKONO NA WADAU MBALIMBALI KATIKA KUJIANDAA KUSHEREHEKEA SIKU KUU YA HEDHI SALAMA


Pongezi nyingi mno kwa wadau hawa ambao wameona uhitaji wa wanawake/mabinti hasa katika kuhakikisha wanaweza kujisitiri katika hali ya usafi na usalama wakati wowote na popote bila kudhalilika

PAMOJA TANZANIA CLUBS WAAMUA KUONYESHA MFANO KWA WANAFUNZI WENZAO

 Wanafunzi wa kiume waisafisha vyoo vyao, ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa katika club ya Pamoja
 Mwanafunzi wa kike katika Pamoja club  akisafisha choo, ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa ndani ya Pamoja club
 Wanafunzi wote wakike kwa wakiume ndani ya Pamoja Club wakichota maji tayari kwa shughuli za usafi kuanza
 Wanafunzi wa Pamoja Club wakinawa mikono mara baada ya zoezi la usafishaji choo kumalizika
 Wanafunzi wote wa club ya Pamoja Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza zoezi la kusafisha choo, hongereni sana wakufunzi wetu, Lilian Benjamin (Hubert Kairuki) na Deusi Kapufi (KAM)