Saturday, 6 February 2016

WANAFUNZI IFAKARA HATUJA WAACHA NYUMA

 Irene Ndeki mwanafunzi kutoka chuo cha udaktari cha Mt. Francis, akiwa katika kipindi chake cha kwanza katik ya vipindi 12 anavyotegemea kuviendesha, Irene pamoja na wanafunzi walizungumzia juu ya hedhi salama na balehe kwa uwazi na kila mwanafunzi alipenda kwenda mbele kuwakilisha walicho jadiliana katika vikundi

1 comments:

Unknown said...

Congrats for the good work you are doing.
Keep it up