Saturday, 6 February 2016

WANAFUNZI DAR-ES-SALAAM WAVUNJA UKIMYA KWA KISHINDO KIKUBWA


 Lilian Benjamin kutoka chuo cha Hubert Kairuki akiwa katika kipindi chake cha kwanza kati ya vipindi 12 atakavyo viendesha, wanafunzi walipata nafasi ya kuweza kuvunja ukimya na kujadiliana bila aibu juu ya hedhi salama na balehe

0 comments: