Saturday, 6 February 2016

REGINA KWAY AVUNJA UKIMYA IFAKARA

 Regina Kway mwanafunzi kutoka chuo cha udaktari cha mtakatifu Francis akiwa katika kipindi chake cha kwanza kati ya vipindi 12 anavyopaswa kuviendesha kwa wanafunzi hawa, Regina aliwagawa wanafunzi katika makundi na kuwahamasisha waweze kuzungumza juu ya hedhi salama na balehe, mwanzoni haikua rahisi hata kidogo kwa mtoto kuongea lakini kadiri kipindi kilivyoendelea, wanafunzi hawa waliweza kuzungumza mengi sana

0 comments: