Saturday, 6 February 2016

DINNA NYIRENDA AHAMASISHA WANAFUNZI KUVUNJA UKIMYA


 Mwanafunzi Dinna Nyirenda kutoka chuo cha Hubert Kairuki ambaye ni mfundashaji wa kujitolea katika programu ya hedhi salama na balehe, akiwa katika kipindi chake cha kwanza kati ya vipindi 12 ambavyo ataviendesha shuleni hapa, kipindi hiki kiliwajengea wanafunzi uwezo wa kuweza kuongea maneno ambayo wao waliyaona ni magumu kuyatamka hadharani na pia mila zao ziliwafundisha kwamba hedhi na balehe ni siri.

0 comments: