Tuesday, 28 April 2015

TUMWAMBIE NANI MATATIZO YETU?? TUWEKE VIPI MTUELEWE? TUNAHITAJI MSAADA WENU JAMII NA SERIKALI KUFANIKISHA HEDHI SALAMA KWA KILA MWANAMKE..

Nilianza kufundisha kina mama kuhusu swala la hedhi salama tangu 2011, changamoto nilizozipata mimi, niligundua na wenzangu wengi wanazipata, ila hawana jinsi, leo 2015 ninatamani sana kuona tunaadhimisha siku ya hedhi duniani ili jamii yote iungane na sisi kuangalia kwa undani zaidi nini suluhisho la changamoto hizi
0 comments: